Wow mjukuu huyooo asante mjukuu wangu kwa kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa kwangu meno yote sasa yanapukutika mdomoni babu yako naona hatak kuuachia ujana
Have a long life lke a tortose,good life lke a bil gate,happy life lke me vile.
Kuna keki nilikutengenezea ila bahati mbaya kwangu kuna panya na washaifanyia shughuli.
Hp bday.
leo nasherekea siku yangu adhimu.. The birth of me!! I am grateful to god for the gift of life Nawashukur wazaz wangu kwa kunilea maisha ya aman na upendo had hapa nilipofikia.
Happy birthday to me... I wish my self many more years of joy, love, laughter, health and prosperity..