Kwa niaba ya mume wangu Ntuzu na wanangu janeth1 na romantic eyes nakutakia maisha marefu yenye baraka mamaafacebook
leo nasherekea siku yangu adhimu.. The birth of me!! I am grateful to god for the gift of life Nawashukur wazaz wangu kwa kunilea maisha ya aman na upendo had hapa nilipofikia.
Happy birthday to me... I wish my self many more years of joy, love, laughter, health and prosperity..
Thank u so much....be blessed
Kwa niaba ya mume wangu Ntuzu na wanangu janeth1 na romantic eyes nakutakia maisha marefu yenye baraka mamaafacebook
Kwa niaba ya mume wangu Ntuzu na wanangu janeth1 na romantic eyes nakutakia maisha marefu yenye baraka mamaafacebook
Jamani kila mtu humu ana familia?Bado mie tu?Duh!nifanye nitafute familia
We kwani hauna mume?
Maswali gani hayo wakati wewe ndio ulikuwa mstari wa mbele kwenye kupokea mahari yangu?Haujui kama watoto ni majaaliwa????