Happy birthday to me Estugo

Assalaam,

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema,

Allah anijalie afya njema,anilinde,niishi kwa kumpendeza yeye,

Oooh ushangazi unanikaribia🙂🙂
Happy birthday 🥳,mwakani Tufanye mpango kama #MisaKi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…