Happy Birthday Sakayo

Da Shunie nawaza tu huu uzi uliuandika mchana ukausave kisha usiku ukausend tu au shemeji hakuwepo maana hii sio mida yetu kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah! Jirani ndio tunazeeka hivyo. [emoji12]

Heri ya kuzaliwa kwako jirani Mwenyezi Mungu azidi kukupa kila la kheri. Nimepost huku mkiani ila najua utaiona tu. [emoji3][emoji3]
Hahaha hahaha hahaha
Jirani nashukuru sana jamanii, naachaje kuiona sasa jamanii ya jirani yangu kabisaaa jamanii!

Uzee ndo huo sasa jirani! Hakuna namna ingine tena!

Pole na ban
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…