Happy Birthday Putin. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Birthday Putin.

Discussion in 'International Forum' started by Sikonge, Oct 7, 2012.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana walau ameibadilisha Russia kwani aliichukua Nchi yake na akaanza Ubabe wa kutisha. Mali nyingi za Russia zipo chini ya Warusi na si kuuza kila kitu kama tunavyofanya sisi.

  Sasa hivi Russia imerudi kwenye Super Power kijeshi na hata kiuchumi, ndiyo nchi pekee Ulaya ambayo soko la vitu vya bei CHAFU vinauzwa kwa wingi mno. Kuanzia Vito vya bei juu, magari, ndege, helcopiters, nguo na kila aina ya vitu vinavyoonyesha UTAJIRI wa mtu.....

  Huyu ndiyo Paul Kagame wa Russia au PUTIN...... Happy birthday kiboko ya PUSSY RIOT. Ila na wewe punguza ubabe bana kwa Mabinti, lahh!!! Jifunze kwa wenzako jinsi ya kuwa-deal Mabinti na si kuwafunga jela.

  Vladimir Vladimirovich Putin (Russian: Влади́мир Влади́мирович Пу́тин; IPA: [vɫɐˈdʲimʲɪr vɫɐˈdʲimʲɪrəvʲɪtɕ ˈputʲɪn] ([​IMG] listen); born 7 October 1952) is a Russian politician who has been the General Secretary of the United Russia since 1 January 2008, and thePresident of Russia since 7 May 2012. Putin previously served as President from 1999 to 2008 and as Prime Minister of Russia from 1999 to 2000, and again from 2008 to 2012. Putin also served as chairman of United Russia and Chairman of the Council of Ministers of the Union of Russia and Belarus from 2008 to 2012.
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kumbe wote wamezaliwa SIKU moja na KIKWETE? Maajabu ila ni kweli.

  Haya Marais wa nchi nakutakieni HAPPY BIRTHDAY kama binadamu.

  Kama Marais, ngoja kwanza nisiseme hadi mmalize muda wenu kama Marais.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  na wote ni wanajeshi
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135

  Eti unamlinganisha Putin na yule kimbambau muuaji Paul Kagame wa Rwanda, brother watch out bwana maana Putin is more than that waulize waMarekani wanatoa salut kwa Putin ni juzujuzi tu amewaonyesha Wamarekani kama yeye ni nani baada ya kitimulia mbali shirika la misaada la wamarekani la USAID, Kagame anaweza hilo to hell with your Kagame[video=youtube_share;k44qQ4ws4XE]http://youtu.be/k44qQ4ws4XE[/video]
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Kwani unafikiri Putin hajauwa? Nenda Chechnia uone Kaburi zilizoachwa huko. Chechnia wale watu wakorofi sana na ukichanganya na UDINI wao na hasira ya kuwachukia Warusi, moto uliwaka pale. Putin aliwacharaza na kwa kutumia hela ambazo Russia ilizipata baada ya mafuta na gas kupanda bei, kamwaga hela pale Chechnia hadi wale vijana wanaojifanya RADICALS wameanza kusalitiwa na watu. Watu wanaona Nyumba nzuri, maji, umeme, barabara nk na huku mwingine anakuja kuwaahidi DINI na kujitawala wenyewe. Watu wakapima, wanaona heri kutawaliwa na Putin na wawe na kila kitu walichokitamani PLUS amani, kuliko Wachechnia wenyewe kwa wenyewe na mwisho wakipate KIBONDO cha Putin.

  Ila ukweli ni kuwa WOTE yaani PUTIN na Kagame wana malengo mazuri ya nchi yao. Hebu ona AIR RWANDA wanavyoendelea wakati sisi AIR TANZANIA ni Marehemu. Kweli Tanzania na utajiri wake kweli inakosa shirika la ndege?

  Putin kinamsaidia PESA ya GAS na MAFUTA. Gazprom kwa kweli ni shirika kubwa sana kwa sasa. Pia ile mitajiri mikubwa ya Kirusi nayo inatisha kwa muda huu. Na kwa kuwa ana GAS, nchi zote za Ulaya katikati na hasa German wameshikwa pabaya kwani hawana JINSI zaidi ya kumpigia magoti.

  Ingelikuwa Tanzania, wangelikuja na kumtisha mtu na wakachukua mafuta na gas bure kama watakavyoanza hivi karibuni. Ila kwa sababu ni Russia, ndiyo maana hawawezi kitu zaidi ya kumpigia magoti Putin.

  Sijui utajiri wa Kagame ukoje zaidi ya kusifika kuwa ni MUUWAJI. Mwisho wa siku, kuna Rais Africa asiye na damu mikononi? Watawala wengi kwa njia moja au nyingine wana damu za watu.
  Kwa upande wa PUTIN, kuna habari zinakwenda chini kwa chini kuwa jamaa anaweza kuwa hata TAJIRI mkubwa kuliko wote duniani ila mali zake zote kazichimbia vizuri sana. Ananunua/kujichukulia SHARE kwenye makampuni ya Kirusi kwa siri na hakuna anayeweza kuuliza...... WEWE JARIBU TU uone kilichowapata PUSSY RIOT.

  Wameanza kumshitukia baada ya kuona kuwa SAA anazovaa mkononi, bei yake ni mbaya sana ukilinganisha na Mshahara wake. Na hizo saa hana moja ila nyingi. Pia huko kwao Saint Petersbrug, ana Mijumba na Mahoteli ya kutisha.

  CHEZEA PUTIN WEWE, KGB LILE hadi kwenye mifupa.
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo nimekukubali kuwa unaijua vizuri historia ya Puttin yule kweli ni former KGB na si unajua tena ukishafika nafasi ya Putin aliyokuwa amefikia kusema ukweli KGB huwezi kuondoka maana inakuwa ndani ya damu yako.Thanks kwa uchambuzi mzuri hahaha napenda sana hata movies zikiwa zimechezwa kuwaigiza KGB na Mossad maana ni watu wanaotumia akili nyingi sana hawakurupuki kama wale watekaji wa Dr Ulimboka
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  Sikonge umenena vema. Happy Birtday Putin JK siwezi kumuwish kwa sababu kaweka tumbo lake mbele na sio nchi yake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  PUSSy Riots walikosea sana.. Kwa sababu kanisa la urusi ndio serikali yao na kanisa kuu lipo ndani ya Kremlin nimeshaenda sana kusali pale na kina medvedev sijawahi kwenda pale nikamkuta Putin . Japo kwa sana kwa vile ameshakuwa rais atakuwa anahudhuria sana kipindi hiko yeye alikuwa ni prime minister. warusi nchi ya kibaguzi sana sio tu kwa ngozi nyeusi ni kwa mtu ambaye hana asili ya pale ila nilichowapendea wanajilinda sana na wanapenda watu wao na kulinda rasilimali zao. Wao wamejiweka mbele ukienda kuomba kazi wanaangaliwa kwanza warusi then nyie wengine ndio mtafikiriwa. How about we Tanzanians??
   
 9. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  we will see the end of the movie
   
 10. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Vladimir Putin, 59, has dominated Russia this century and is one of the most recognisable figures on the international stage.
  After a gap of four years, he has been re-elected for a third presidential term of six years, to the delight of allies and dismay of detractors.
  In his first two terms as president, he ushered in a new era of prosperity, fuelled by his country's vast natural resources.
  Russians wearied by the turmoil of life under the late Boris Yeltsin welcomed the economic and political stability he represented.
  However, the price, in the opinion of many, was the erosion of Russia's fledgling democracy.
  Old problems like corruption and separatist unrest in the North Caucasus remain and Mr Putin saw a sharp drop in support at the ballot-box, officially winning 63.6% compared with 71.9% in 2004.
  In the months before his re-election, Russia was gripped by the biggest anti-government protests since Soviet times.
  KGB man Born in the Soviet Russian city of Leningrad (now St Petersburg), Vladimir Putin studied law and joined the KGB after graduating from university.
  Continue reading the main story [h=2]Putin the man[/h]
  • Born 7 October 1952 in Leningrad (now St Petersburg)
  • Studied law and economics before joining the KGB
  • Served as KGB agent in East Germany 1985-90
  • Married, two daughters
  • Speaks German and English
  • Sound bite: "I'd like the Russian public to see me as the person they've hired for this job"

  He served as a spy in East Germany, an experience which helped him build and maintain good relations with Berlin when he came to power.
  For many Russian liberals, Mr Putin's KGB past is disturbing, with its authoritarian associations, and he makes no secret of his nostalgia for the USSR.
  Entering Boris Yeltsin's Kremlin in 1997, he climbed rapidly to the top with stints as chief of the FSB (the successor of the KGB's domestic arm), then prime minister.
  It was as prime minister that he oversaw the return of Russian troops to Chechnya in 1999, a military success which bolstered his claim on the Kremlin itself the following year.
  Roll-back Once in the Kremlin, he set about easing liberals out of government, often replacing them with more hardline allies or neutrals seen as little more than yes-men.
  Continue reading the main story [h=2]Putin in power[/h]
  • 2000: Putin elected president in first round; Kursk submarine disaster; restoration of Soviet national anthem with different words
  • 2003: General election gives Putin allies control over parliament
  • 2004: Putin re-elected by landslide in February; a year of Chechen attacks on civilian targets culminates in Beslan
  • 2005: Mikhail Khodorkovsky, Russia's richest man, jailed for tax evasion 2006: Russia briefly cuts gas supplies to Ukraine in January; St Petersburg hosts G8 events
  • 2007: Putin likens US foreign policy to Nazi Germany's and threatens to target missiles at EU states in response to US anti-missile plans
  • 2008: Putin becomes prime minister after his protege Dmitry Medvedev's landslide win in March presidential election
  • 2011: Putin announces he will stand for president again in 2012, with Medvedev as his prime minister
  • 2012: Wins a third term as president

  Yeltsin-era "oligarchs" such as Boris Berezovsky and Vladimir Gusinsky - businessmen who grew rich in the chaos of the first privatisations - ended up as fugitives living in exile abroad.
  Mikhail Khodorkovsky, once head of oil giant Yukos and Russia's richest man, is now in jail for tax evasion.
  Mr Putin effectively re-centralised Russia by introducing a system of presidential envoys seen by some as overseers for elected governors.
  His allies control much of the media and his rule has seen creeping controls over foreign-funded non-government organisations, which largely focus on exposing human rights abuses.
  Mr Putin's Kremlin was accused of abusing its huge energy clout, allegedly punishing fellow ex-Soviet states like Ukraine with price hikes when they leant towards the West.
  Further abroad, Mr Putin allied himself with Washington's "war on terror", comparing Chechen separatists to al-Qaeda.
  Yet he also opposed the invasion of Iraq and caused consternation in the US by inviting Hamas to Moscow for talks after their Palestinian election victory.
  After he was obliged to step down in 2008 to allow a protege, Dmitry Medvedev, to become president in his place, few doubted that he remained in charge, albeit as prime minister.
  Fourth term? Criticism of Mr Putin tends to be directed at aspects of his rule rather than the man himself.
  [​IMG] Opposition to Mr Putin's return to the Kremlin has been vocal
  Opponents point to the continuing corruption in Russian officialdom, and particularly among the law enforcement agencies which, at times, appear to be a law unto themselves.
  The bloody suppression of the insurgency in Chechnya has not been forgotten and those who argue the crackdown was necessary are confronted by the fact that militant violence continues elsewhere in the North Caucasus, though on a much smaller scale.
  Mr Putin has been described as a workaholic by his wife and mother of his two daughters, Lyudmila.

  The judo black belt appears to relish his macho image, helped by election stunts like flying into Chechnya on a fighter jet in 2000 and appearing at a Russian bikers' rally after the 2011 parliamentary election date was announced.
  By law, he could stand for a fourth term in 2018, though he says he has not decided whether or not he wants to.
  While he undoubtedly retains considerable support, many Russians are alarmed by the prospect of a possible 12 more years with him at the helm and felt tricked when he announced his ambition to return to the Kremlin.
   
Loading...