Hata ya matunda hali, mpelekee keki ya pumzi labda ataivuta bila kuweka barakoaHuyu atengezewe keki ya matunda
Zinasaidia kuongeza stress hatimaye unapungua uzito[emoji2][emoji2][emoji2]Aondoe zile parking fees kule ndani ni mzigo kwa watanzania.
Huku Mbele Mzee Atalisumbua TaifaIla Mzee anatupiga spana huyu Kwa kifupi hataki tule kila kitu ata maji juzi juzi katukataza tusinywe hahaha
Happy birthday mtaalamu namkubali huyu Mzee sana
Mzee akimuona MTU mnene anatamani kumchapa makofiHuku Mbele Mzee Atalisumbua Taifa
Kuna kitu ningesema ila acha nikae kimya
Huyu Mzee katupiga na kitu kizito sana wa tz