Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.
Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.
Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
TehJamani masai wangu
yaani unamhisi na mtu fulani?Happy birthday Paw halaf sijui kwa nini huwa namuhisi na mtu flani acha ninyamaze tu
Tena huwa nahisi eti Paw ni wewe jamanyaani unamhisi na mtu fulani?
Namuhisi kama baba clareeTalk mama don't nyamazaring
yaani bibi ake asijue wewe bibi wa mwingine ujue! Kumbe nikipotea mwaka utahamishwa kabisa eeeh.Ha haha, unataka kusema nini baba?
Wewe usibadili gia njiani baada ya mimi kukuqoute sema huwa unahisi paw ni nani? Mamdogo sikuhizi unabadilishia gia angani hivyo??Tena huwa nahisi eti Paw ni wewe jaman