GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,914
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Genta bwana?
Tafadhali usichafue tu hali ya hewa maana wewe huchelei [emoji12]
Siwezi kuisahau siku yako ya kuzaliwa Genta,naikumbuka sana.
Wewe ni mmojawapo kati ya marafiki zangu wakubwa sana,sahau mikwaruzano yetu ya mara kwa mara lakini namshukuru Mungu hatujawahi kufikia hatua mbaya.
Hahahaaaaaa sina jeuri ya kumringia Bold kaka,kwake mimi sina hali...jeuri zangu mwisho JF hahaha
Wooooooow kumbe nimezaliwa siku moja na hayo majembe?
Na hasa Kitenge huwa namkubali sana shabiki yule mwenzangu wa Yanga.
Asante kwa kumbukumbu hii mujarab.
Shukraan Genta [emoji120]
You are welcome broh.
Did I ever told you that you are my first follower? [emoji4]
Currently I have more than 60 followers,you'll always be in my JF memories...thank you BAK [emoji120]
I love u more [emoji8] [emoji8] hope our Korean family wote wamekuja hapaThank you my big sister,my sister from Korea
Hahaha,you know I love you always [emoji8]
Shukraan dearest
Awwwwwwww asante mpenzi wangu Lynne,jamani nakupendaaaa yani nakupenda mnooo.
We shall meet...one day
Amen [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vizuri kweli sio mchezo [emoji85]
Asante mpendwa wangu [emoji8]
Nifah I hate you...Thank you sweetheart
Khaaaaaaa jamaniiiiiii [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I love u more [emoji8] [emoji8] hope our Korean family wote wamekuja hapa
Many thanks madameHahahaaaaa,niko hapa dearest
Asante mmary,wajua upo kwenye vitabu vyangu vya kumbukumbu.
Ubarikiwe sana [emoji120]
Mbona umefurahi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wiiii ww wa dhahabu sana kwetu mbona mamy,nakupenda piaaaaaaa modo wetu wa ukweliiiiiii, kasura kapole,vimacho vizuri hahahah ngoja nibakize zingine usije anza ringa hahahahahaAwwwwwwww Wii umetisha mama,jamani nimejionaje le super wifi sasa? Hahahaaaa
Thank you my Wifi mzurimzuri,I love you and you know bou that...
Be blessed mama [emoji8]
Nawaambia ukweli shemeji kuna watu wa kuchezewa ila siyo ss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kuwatisha watu shemeji..
Basi naomba nihamie kwa dada mtu, maana valley kule katuweka mtu kati badalaa hafai hata kulumagiwa aiseeeValley yule ni mdogo wangu tu... Ukimuona popote msalimie mwambie familia tumemmiss
Aaaww, si kwa kunisisimua huku kwa maneno mazuri sistery, japo nimechelewa kuiona lakini sijutiii nawapenda sana,Kaka baada tu ya utumbuzi shemeji yako kanitulizaje?
Kasema nami zaidi ya lisaa lizima!
Utamuweza Bold alivyo romantic?
Hahahaaaaa
Kanisaidia sana kiukweli maana nilichanganyikiwa!
Tutamalizia broh,soon utaicheza harusi hahaha
BTW nami nashukuru sana kwa uwepo wako ktk maisha yetu kama rafiki na sasa tumekua ndugu sana.
Hivi niliwahi kukuambia? Una roho nzuriiii kama wasemavyo waswahili "wewe ni mzungu"
Asante kwa support yako kwetu The Bold's,ubarikiwe sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha halafu wewe nae huwa unatumbua majipu kidesign [emoji23]
thank u mamy love zaidi .. barikiwa mnoThank you sweetheart,nakupendaga sana miss chagga hujui tu.
You such a darling [emoji8]
Hahahaaaaaaa halafu umepotelea wapi wewe mkuu?
Huonekani hadi atumbuliwe mtu? [emoji23]
Asante sana,ubarikiwe [emoji120]