mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
.................................................................................................................................................Yaani sina budi kuacha kazi yangu japo kwa dk 2 tu ili niseme HAPPY BIRTHDAY Nguruvi3!
Yaani wewe ni kati ya watu ninao waheshimu sana hapa JF hasa jukwaa la siasa!....yaani nakili
kutoka ndani ya moyo wangu mtu kama wewe Nguruvi3,Mwanakijiji,Mkandara,Pasco,EMT,
Mchambuzi,Nazdaz,Faiza Fox,Kiranga,Mohamed Saidi wa kk gerezani nk. nathamini sana mada
zenu na hoja zenu zilizoenda shule hasa!. to be honesty mijadala yenu humu ndani imenifungua
sana na kuniongezea uelewa ndani ya kichwa changu!....Happy birthday Nguruvi3
Thanks Mshikachuma. JF kama ulivyosema imesheheni, ukienda MMU, Wageni n.k utapata kitu cha kufikirisha kama si kuvunja mbavu. Pamoja mkuu.Yaani sina budi kuacha kazi yangu japo kwa dk 2 tu ili niseme HAPPY BIRTHDAY Nguruvi3!
Yaani wewe ni kati ya watu ninao waheshimu sana hapa JF hasa jukwaa la siasa!....yaani nakili
kutoka ndani ya moyo wangu mtu kama wewe Nguruvi3,Mwanakijiji,Mkandara,Pasco,EMT,
Mchambuzi,Nazdaz,Faiza Fox,Kiranga,Mohamed Saidi wa kk gerezani nk. nathamini sana mada
zenu na hoja zenu zilizoenda shule hasa!. to be honesty mijadala yenu humu ndani imenifungua
sana na kuniongezea uelewa ndani ya kichwa changu!....Happy birthday Nguruvi3
Ha ha ha ha ha! Nimepata malalamiko eti anakusanya zawadi halafu anampa Afrodenz anasepa nazo, mimi nipo kwenye stroller leoTunajuana kaka, tena we hii tabia unaipenda, ya kuwahi watu mlangoni kabla hawajajua kinacho endelea. Kule jukwaa la utambuzi ndio kwako.
Ahsante sanaHappy Birthday Nguruvi3.....Mungu akuzidishie na akuongoze...karibu Black Label na nyama ya kuchoma...
Amin, na mola atubariki soteHongera Nguruvi. . .ubarikiwe miaka mingine ya kukutosha hapa duniani.
Amin, na atbariki sote tuzidi kuwa na upendoHAPPY BIRTHDAY NGURUVI3!
Mungu akujalie usherehekee hii na nyengine nyingi zijazo kwa Uzima na Furaha!