Happy birthday mzizi mkavu

Mrembo by Nature una akili sana!!!





DR. MziziMkavu Happy Birthday mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Asante bibie kipenzi Mrembo by Nature na leo nimetimiza Miaka 50 leo Tarehe 6/12/2014. Ninamshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuweza kunifikisha mpaka leo ni mzima asanteni wote mulionipongeza ninawapendeni wote Mubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Happy 50th birthday dr MziziMkavu. Mungu akupe afya njema, furaha, utajiri, busara zaidi na kila kilicho chema machoni pake.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday......Mola akupe siha njema, Auzidishe huo umri Mara mbili.....!
 
Asante bibie kipenzi Mrembo by Nature na leo nimetimiza Miaka 50 leo Tarehe 6/12/2014. Ninamshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuweza kunifikisha mpaka leo ni mzima asanteni wote mulionipongeza ninawapendeni wote Mubarikiwe.
Happy birthday to you kaka mkubwa..! Upewe maisha marefu yenye furaha na upendo.
 
Last edited by a moderator:
Happy return to your day my dearest most admirable person in JF....happy born day to yuuuuuuu
 
Hongera sana mkuu MziziMkavu umefikisha nusu karne tayari??
Kawaida ukiwa nje Ughaibuni unaweza hata kufikisha miaka 100 tofauti na ukiwa upo bara letu la Africa inakuwa sio rahisi kufikisha nusu karne ukifisha miaka 50 upo bara la Africa unakuwa aumesha choka huku mimi nikikwambia nina miaka 35 unaweza kuniamini kutokana na hali ya hewa nzuri baridi ipo na joto lipo baridi haikuzeeshi kuliko hali ya hewa ya joto unazeeka haraka utafiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…