Happy Birthday Mzigua90

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
157,064
Reaction score
463,976
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi
mie na wewe tunajuana wenyewe
nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.

Happy birthday mama Li
nitarudi acha niendelee na lindo babe.

Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa


 
Happy birthday kwako, Mungu akupe maisha marefu zaidi na si marefu tu bali yenye furaha na amani.
 
Hii avatary yake ya sasa imebadili fikra zangu kwake namna alivyo.

Happy birthday kwako. Miaka yote ya furaha na aman ujaaliwe.

Cc Mzigua90
 
Heri ya kuzaliwa mdada, nikutakie mafanikio mema kwa miaka mingine utakayopewa na Mungu na daima udumu kumtegemea yeye pekee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…