NdioKwahiyo mshipa unanijua
Eeenh usiniambie mapicha yangu na wewe yamekufikia shunie mm
Basi nitumie namba yake ili nimtumie yeye mwenyewe. Maana hili nililitarajia kwamba lazima utakataa.....haujanitumia mie
Nami natamani kukujua /kukufahamu/kukuona japo kwa suraKwahiyo mshipa unanijua
Nisambazie na mimi basi japo nakufamuyanasambaa tu
Unywe maji tumbo lijae kibofu kishindwe kazi ufanyiwe operation ufe wachumba zako walie NO NO NO
Mm ninywe maji mmWewe ndio unywe maji bday gil ameshasema kuna maji uko
tehteehhh..... Wepambana nalo mwenyewe hilo jumba chakavu ulilo jitwisha....kwahiyo unanisukumia jumba bovu
Unakunywa nnMm ninywe maji mm
Kwani ile yenye umenitumia ni yanani..Nenda pm kwake kupo wazi atakupa no
Tam-chunguUnakunywa nn