Happy birthday Mzigua90

Happy birthday Mzigua90

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
157,054
Reaction score
463,870
Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu never had a sister to share but your always there for sharing mwenye moyo wa dhahabu.

Nakupenda tu mm Yesu azidi kukutunza jamani si unajua we ndio kila kitu eenh

Jamani napokea zawadi za bday girl pm yaani pm mahela ndio muhimu
 
Thank you wakunyumba wangu. Jana nlitaka nikualike karaoke 777 ila ndo vile mambo yakawa ndivyo sivyo. Nakupenda pia ndugu yangu.
P.S. zawadi za hela zinifikie
 
Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu never had a sister to share but your always there for sharing mwenye moyo wa dhahabu.

Nakupenda tu mm Yesu azidi kukutunza jamani si unajua we ndio kila kitu eenh

Jamani napokea zawadi za bday girl pm yaani pm mahela ndio muhimu
haya tutume kwa njia ipi? mpesa tigopesa halotel sasatel ama acc #
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom