BALE hakuamini macho yake ndio kikombe kikubwa katika maisha yake, haijawahi tokea
Ile muvi ya goli aliloingiza BALE yale ndio magoli yake kipindi anachezea Spurs
Mwaka wao huu labda wachemke wenyewe, ila wakomae haswa maana wale Atletico madrid nao wana uchu sana, chini ya uongozi wa baba yao Simione tenawakomae na uefa au ligi wanaweza chukua moja wapo... ila A.madrid wako form vibaya mno
Mwaka wao huu labda wachemke wenyewe, ila wakomae haswa maana wale Atletico madrid nao wana uchu sana, chini ya uongozi wa baba yao Simione tena
Eti na hii ni thread...
Umeona?!Simione kumbe aliwakua chini ya Torres enzi hizo torres ndio team captain wa A.madrid haaa maisha yanaenda kasi sana
Umeona?!
Lakini hata goli la Barcelona la kurudi lilikuwa tamu sana, IKE CASILAS na utaalamu wake wote hata kuikaribia hajaikaribia, na kama ujuavyo Casilas hapendi kuruhusu goli, alimaindi kinoma.
Umeona?!
Lakini hata goli la Barcelona la kurudi lilikuwa tamu sana, IKE CASILAS na utaalamu wake wote hata kuikaribia hajaikaribia, na kama ujuavyo Casilas hapendi kuruhusu goli, alimaindi kinoma.
Sikujua Kiongozi, basi tusameheane, nashukuru kwa kutuamsha, nilijua mada haijakaa sawa ndio maana waliotutangulia wameamua kumpa somo mleta mada.Naona watu mna hamu ya ban...
Maisha kitu cha ajabu sana, lolote linaweza tokea mbeleni mwakoEnzi hizo Torres captain wa A.Madrid leo Simion ndio kocha
Maisha kitu cha ajabu sana, lolote linaweza tokea mbeleni mwako
Mkuu tufunge mjadala tumeshatahadharishwa
Namjibu tu kiroho safi kwan nin.
hutakiwi kucomplicate
duh wako wangapi??