Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,052
Amina kuwa tukutume, uwe na afya njema na miaka 1000Ahsante sana Ulweso
Amina kuwa tukutume, uwe na afya njema na miaka 1000Ahsante sana Ulweso
Naota au nipo ndotoni?Amiin
Nakupenda sana pia moneytalk![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Muchas gracious bossAhsante sana mkuu Nyagei
Mkuu huyu ndiyo yule uliyesema unakaribia kumaliza mipango baada ya Mshana jr kukupora?Ewaaaahhh.
Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.
Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Umeona eeehh, my sweetheart hii ndio mida mizuri kabisa miongoni mwetuyes honey,ni muda wetu sasa
Kalale una zurura sana au unataka kufunga magetiMuchas gracious boss

Hahahahaaaaaa.Mkuu huyu ndiyo yule uliyesema unakaribia kumaliza mipango baada ya Mshana jr kukupora?
Mkuu naona umeangua kicheko si cha nchi hii,haujawaamsha majirani kweli?Hahahahaaaaaa.
Hicho ni kicheko cha moyoni mkuuMkuu naona umeangua kicheko si cha nchi hii,haujawaamsha majirani kweli?
Kumbe,haya cha nje ya moyo ndio kinaandikwaje mkuu?Hicho ni kicheko cha moyoni mkuu
Hakina tofauti na hicho kiuandishi ila kitakachotofautisha nai sautiKumbe,haya cha nje ya moyo ndio kinaandikwaje mkuu?
Ok mkuu.Hakina tofauti na hicho kiuandishi ila kitakachotofautisha nai sauti
Hahahaa. Sawa mdogo wangu.Hahahahahaaaaa.
Msijali Dada znagu wifi bado hajazaliwa maana mimi mwenyewe ndio nimezaliwa leo
Koh koh koh. Nimepaliwa ujue mdogo wanguhhah sitaki wifi kwa kipind hiki mdog wangu tuangalie maisha kwanza
Mmh. Mshenga au hukuwa hewani?
Hahaaa. Mie namsalimia tu.