Ha haa h.b.d mukari. Nyani Ngabu bilionea wa Arusha Kimori amesababisha tujue kumbe wewe ni Richard Mugizi bepari la kihaya!
Kiruuu...
Unaroho nzuri...
Siku yaleo iwe ni chachu ya kufikia mafanikio yako....kila ulifanyalo likafanikiwe....kila jema uwazalo likatimie...kila uingiapo na kutoka ukawe baraka...kila akuonae upate kibali kwake. Ukawe ni mtu wa kukubalika na kufanikiwa katika nyanja zote.
Mimi na mubebe wangu Nyani Ngabu a.k.a Richard Mugizi tunakutakia heri katika siku yako.... Mmwaaaa