Happy birthday Mtoto Paloma!

dogo.......unajua ukinuna unapendezaga sana!!! cc Vin Diesel

afu una kesi na mie.........kumbe wewe ndo uliniibia picha zangu za usichana!!!! tena hiyo nilipigwa na x-ozzband wetu...........!

naenda atcl kukutumia keki my love!

Hshahaaaa.... Et Vin Diesel ya kweli hayo maneno???

Afu hiyo pic niliiba kwa mmeo!!!
 
Last edited by a moderator:

Sosoliso where have you been
 
Last edited by a moderator:
Feliz Cumpleaños........ Paloma blanca.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…