ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
amina kipenzy......barikiwa sana na Mungu awe nawe kukufanyia wepesi katika hali zako!
uje basi tule keki!!
Epi besdei dada yangu wa hiari .... Paloma
Mie nimenuna.. Yan unasubiri niondoke ndo unafanya besdei????
heeee bestito kumbe upo ulijichimbia wapi wewe jamani
karibu kwa keki ya leo hapa jamvini
Bahati yako daddy angu hakunifunza kulipiza kisasi... Haya nakupa Jicake la Ukwenhe!!!
Happy birthday Paloma.
Epi besdei dada yangu wa hiari .... Paloma
😕 mbona mshumaa unawakia kwenye ...............
happy birthday wii Paloma
Nipo ndugu Yangu, ukubwa tuuu huu, niko vijijini kwa sasa kwa warangi huku narudi mjini hivi karibuni. nikirudi tajua tu, kwanza nimesikitika kumis hako ka kukutana pamoja!! bai ze wei, hao are you?
Mmmmh!!
Kuna watu mna avatars za kiuchokozi...