Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Hey~Lo!

Leo miguu juu na Celebrate my BirthDay and International Women's Day! ontop of the World!!



Goooosh! Am Blessed right?! Maana sio kwa kupendelewa huku kwa kuzaliwa sikukuu ya wanawake Duniani!

Nawatakia heri ya sikukuu ya wanawake Duniani, wanawake wooote wa Jamii Forum popote walipo!

Yours:
Malkia wa Nguvu Money Penny

TUAMBIE NANI NI MALKIA WA NGUVU KTK MAISHA YAKO UNAYEMKUBALI SANA NA HATA HAPA JAMII FORUM!

Ps:
Stori itafuata kesho saa 10 jioni
Stori tamu, stori mwake, stori bambam
Ya watu tofauti tofauti hapa hapa bongo!
Ila nimeambiwa nilete ya wadada kwasababu ni mwezi wa Malkia wa Nguvu basi me natii

Bado napokea zawadi Inbox
Asanteni kwa Cakes and gifts and vochas and Perfumes for real, Mungu Awabariki Msipungukiwe
 
Be blessed
cc70c8e71cb354ba6ba2b8699b851e22.jpg
 
tobaaaa vocha tena

fanya ivi ukipewa nyingi na mimi unitumie mana sikumbuki mara ya mwisho kununua vocha

Kiruuu! Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi bruh!

hbd money Penny
Thank u love

Thank u love

Miamala inaruhusiwa piemu maana mzee hapa Daby ni mkarimu sana
Happy birthday madame
Thank you Sire!

happy born
Thank you so much
 
Happy Born Day Mrs Don Lucifer....
Uwe na miaka mingi duniani zaidi ya mchanga wa baharini...
 
"The failed attempts at becoming will keep you hungry till yoy get it right, and even when you think you have it all figured out, be prepared for more challenges and failure" ~ TOKE MAKINWA

MALKIA WA NGUVU~PART1

SIA:
Birthday yangu inakaribia, Oh My Gaaaaash! Hata sijui nitafanya kitu gani, muda umeenda na nimechelewa mpaka inakaribia valentine sijaplan uuuwi nafwaaaa!

Sijui niende nyumbani kuwasalimia, sijui nikale kwa watoto yatima, sijui nifunge na kuomba tu siku nzima kwa masaa 24, sijui niende Paris, sijui niende Dubai au SA au Singapore au Malaysia au nifanye party Zanzibar na marafiki 5 tu, ah! Dear God help me Abeg! hapa nimechanganyikiwa

Nina vitu vingi vya kufanya alafu ukuangalia nimezaliwa sikukuu ya wanawake, damn! What more can i ask God for!
Nahitaji kupasua anga na ardhi ikija kwenye swala la sikukuu yangu ya kuzaliwa!

Kwanza ngoja niandike my to do list:
Ok nahitaji

1. Cake,
mmmh Cake nadhani ntachukua kwa Monica Msasani, ana taste nzuri yule dada, ni noumer, hata sijui anawekaga nini ndani, kiruuu! ila this time ntachukua Vanilla na Chocolate sio ya vile vi-rasberry, nataka taste tofauti kidogo


Kama nitaenda nje ya Tz nitanunua nyingine hii ya Monica italiwa hapa ndani
Okay!, so i have a Cake done done!

2. Photoshoot:
Ngoja niangalie nani atanipiga photoshoot nzuri, akachukua simu aangalie akakumbuka, ah nimekumbuka Osseee! Osee nomaaa! Ngoja nimpigie kwanza


Simu ikaita:
kukudai nakudai na simu yako napokea basi
Kukudai nakudai na simu yako napokea
Simu ikapokelewa:
Osse Studio: hellow
Sia: Hi Ose!
Osse: Hi how r u?!
Sia: am great, well, i need a photoshoot on 5th of March for my birthday which is on 8th March
Osse: ok!, so unataka theme gani


Sia: nataka
Daylight(street theme) nakuwa nimepiga na ma baloons,
nyingine kwa hotel eating dinner, nyingine nakata keki,
nyingine nipo na my mom,
nyingine na watoto wangu 2 na mume,
nyingine kwenye balcony nimeweka miguu inaning'inia,
nyingine porini ~ nimevaa casual nimechafukaaaa like a wild strong woman,
nyingine nipo sokoni naenda kununua bidhaa
mwisho nimekaa kanisani
Oh yah na ya saloon pia
Osee: okay dear, hamnanshida yote yanawezekana, so now nakutumia prices zangu kwa email yako then tuonane kesho saa 7 mchana Coral Reef Hotel, tuongee kwa zaidi. Pia uje na picha za idea na places unazotaka twende kupigia, okay! Just ideas uje nazo


Sia: poa Osse asante sana
Osse: karibu tena, ila keep time ukichelewa hautanikuta
Sia: ok dear. Simu ikakatwa
Okay photo shoot done!


3. DRESSESS:
Sasa nahitaji dress, akaanza kupekua pekua ma wewe, fashionista on a serious business akapanga pangua na wewe akapata nguo


4. Travel Agent:
Simu ikapigwa:
Phone: hellow this is Kearsley Travel and Tour, how can i help you!
Sia: hi, how are you
Agency: am fine dear karibu
Sia: Asante, nataka kuweka booking kwenda Dubai or SA! Tar 7 March, pia kama kutakuwepo na ile Package ya hotels, tourism, na flight nitashukuru sana
Agency: Sawa Mami, unahitaji 1st class, Business class au Economy?!
Sia: 1st class dia
Agency: kwa watu wangapi?!
Sia: watu 3 mpaka 5
Agency: ok, naweza pata email yako niku email the prices then uje tuongee ofisini kesho au kama utaweza hata leo
Sia: oh! Hapana leo sitaweza labda kesho, akataja email yake
Agency: will get back to you, karibu sana
Sia: asante mami
Simu ikakatwa


5. INVITATIONS
Okay sasa imebakia invitations
Ngoja niandike watu wa kusafiri nao, Kuna
1. Darling
2. Cutey
3. Sexy
4. Gorgeous
5. Bombshell
6. Foxy


Sasa ngoja niwapandie hewani niwaskilize hawa warembk wa mwendokasi
Simu ikapigwa
Ringtone: malkia mwenzangu wa nguvuu, jasiriii, mchapakazi mtulivuu, jasiriii
Darling: nambie mama la mama
Sia: nipo shouger za kujificha au niseme umefichwaaa?!
Darling: hunni wapii! Icho tuweke kiporo nipe ramani mwana
Sia: unajua birthday yangu inakuja right
Darling: oh yah! Kweli nimekuwa nawaza valentines tuuu nakusahau, enhe sa hivi wapi unafanya?!
Sia: Dubai au SA inategemea na budget yangu
Darling: awkay, march 8 right?! Ngoja niangalie calender, well wiki nzima am free sina event yoyote afu nadhani kwaresma itakuwa imeanza, so am in, how much natakiwa kulipia? Ili nianze kuomba na likizo kazini
Sia: dola 1000 tu
Darling: kha! Ila poa hiyo ndo zawadi yako ya kuzaliwa! Usinidai tena, huku anacheka
Sia: Darling bwana haya asante so nabook na ticket yako sawa?! Hela utanipa tukionana. Iyo passport yako iko sawa kwa ajili ya visa au?!
Darling: ndio ma! Wewe tu!
Sia: haya bdae kipenz wasalimie wote kwako
Darling: karibu
Simu ikakatwa


Phone Ringed: yote mliosema mliotenda nasahau , nasonga mbele mangapi iii yamesemwa mangapi nimeonaaa, mmmmh mlioseema aaaa, nasonga mbele mangapi, iii yamesemwa mangapi nimeonaaaa!
Sexy: hey~lo!
Sia: nakuna Mama Jideee! Hii ringtone noma maana nilianza kucheza kabisaaa
Sexy: akacheka nambie mama sia mama Chinderline!
Sia: asee ninaandaa birthday nje ya Tz
Sexy: enhe wapi tenaa
Sia: kati ya Dubai au SA bado nasubiri quotation kwa agent!
Sexy: awkay how much!
Sia: kwako dola 2000 tu
Sexy: poa count me in
Sia: thanks dear! Kissess! Ntakucheki kesho kwa ajili ya visa
Sexy: mwah!
Simu ikakatwa


Okay bado 4, ngoja niendelee

Phone ringed: zunguka zungukaaa zungukaa zungukaaa eee, huo wema wa Mungu umenizungukaaa, zungukaaa, zungukaaa, zungukaaa, zungukaaa eeee
Shetani na mama mkwe wake wanaliaaa aaa
Shetani na mama mkwe wake wamekalia misumariii
Simu ikapokelewa
Bombshell: nambie mama sita
Sia: ah hii rington noumer!
Bombshell: ipi tenaa?!
Sia: si ya injili zunguka zungukaa ee
Bombshell: eh me sina habari labda mtoto alikuwa na simu si unajua hawa watoto wa 4G sheedah watoto wadogo wanakaa na simu kila saa, pole mwaya nambie
Sia: na plan birthday love, utakuja
Bombshell: wapi?
Sia: kati ya Dubai au Bondeni kwa Mandela
Bombshell: makubwaa, haya twatoa ngapi
Sia: dola 1000
Bombshell: kiruuuu ndoroooboooe, we Sia me hela natoa wapi wakati unajua mume hana hela
Sia: we mchaga wewe ac
ha ubahili tembea mamaa unakaa ndani kama picha ya Yesu umekuwa nguzo ya nyumba au?!
Bombshell: kwani siku gani
Sia: tunaondoka 7th March, yangu ni 8th march
Bombshell: oh yah we ndo umezaliwaga sikukuuu ya wanawake duniani or something, mh! Sasa hawa watoto nawaachia nani
Sia: watakuja kukaa kwangu kama mume hayupo, watalelewa na dada yangu
Bombshell: we mwana we na Birthdays utadhani umechanjiwa, kila mwaka lazima uweke chata


Sia: we only live once na kukumbuka siku ya kuzaliwa ni raha sana
Bombshell: bwana me sina hela bwana
Sia: mami plz, kwani budget yako ngapi
Bombshell: dola 200 tu
Sia: we unazingua ujue, me siendi kukaa hotel mbuzi
Bombshell: basi nenda bila mimi kiruuu, kwani nimekulazimisha?!


Sia: haya mama naona kwako imeshindikana ngoja nikutoe kwenye list
Bombshell: kuna list kumbe?! Makubwaaa, aki Sia una shughuli! Haya nani yupo kwa list?!
Sia: walio comfirm wataenda so far ni Darling na Sexy, bado sijampigia Foxy, Cutey na Georgeous
Bombshell: tobaaa hata Foxy atakuwepo?! Ahahahahaha, ntacheeeeka njia nzimaaa kudadeki sio kwa fujo alizonazo
Ila cutey jaman unajua how i feel abt her, tena usitake nirudie, kajilengesha kwa mume kapata mimba, Mungu akaona haki sio haki akamchukua mtoto, unataka nikapigane nae au?!
Ila ngoja kwanza kama anakuja nina plans zangu kwa ajili yake so naenda na dola 1000 nalipia cash sio cheque sio kwa Card


Sia: Bombshell jamani embu acha by gones be by gones, Mungu alisha settle case zenu samehe mama acha wazimu
Bombshell: kusamehe nimesamehe ila nataka kujua ana m-screw nani this time maana haya nilioskia ofisini God knows lazima alie mtu kwenye hio sherehe. So naja najaaaaaaa nakuja yani hio birthday lazima kuwe na smack down ya nguvu nami nitakuwa na camera kabisaaa kupiga swaga photooo, kaaachaaa, ekotiteeeee, so am going darling, let the game begin
Sia: haya love asante sana ila tunaenda kufurahi sio kupigana banaaa plz do it for me Abeg!
Bombshell: poa love no problem.
Sia: by dia, Simu ikakatwa




Sia: eh kazi ipo kudadeki Mungu nisimamie mieee maana nawajua hawa wawili ni sheedah!

Haya watatu washakubali. Ngoja nimpigie Gorgeous alafu nije kwa Foxy au ngoja nianze na Foxy maana naona anapeeeendwaaa

Phone Ringed:
Who run the world? Girls!
Who run the world? Girls!
Who run the world? Girls!
Who run the world? Girls!
Who run the world? Girls!
Who run this motha? Girls!
Who run this motha? Girls!
Who run this motha? Girls!
Who run this motha? Girls!


Foxy: heeeeeeeloooooooooooooowww Sia sia sia nambiiiiiiiiiieeeeeeeeee!
Sia: ikabidi acheke tu maana sio kwa fujo zile, we Foxy haukui tu, mautundu mavituko, kha!
Foxy: ahahahahaa sema we mshamba tuuu we nyoko tuuu hela yenyewe hauna we kumanyokooo tuuu!
Sia: dah! Kazi ipo
Foxy: nambie mngese
Sia: sasa hapo unavuka mipaka
Foxy: ongea basi au nikate simu, Sia: Heeee, we Foxy mbona naskia Kwichi kwichi upo na watoto wa jirani wanacheza au ndo yule mbwa wako kaingia mpaka chumbani maana naskia makelele ya kitanda mpaka kwa simu,
Foxy: akacheka, yatakushinda bibie we fanya yako
Sia: au unapigwa dudu apo?! Na unapata wapi ujasiri wa kupigwa dyu dyu na kuongea na simu, Yeeesu na Maria unafanya Anal Sex! Kiru Foxy ni dhaaaaambiiiii!
Foxy: akacheeeeka kweli Sia we utasubiri miaka 10000, embu niacheeee nipo na
mjeda m1 alinifanyia favor flani amazing, ndio narudisha shukrani, ongea kabla sijanogewa


Sia: Kweli we foxy ni foxy hauna mpinzani
Haya nina birthday tar 8 tunaondoka Tz tar 7, karibu, utalipia dola 1000 tu!
Foxy: dubai dola 1000, me skai economy we nyau!
Sia: nyingine ntaongezea hiyo ni ya room
Foxy: skai kariakoo streets pia so call me ukiwa na budget kamili but am in love. Bdae naona utamu kunoga bye.
Sia: Makubwa bye bwana kwanza naskia harufu ya maupwiru yenu shindrwaaaa, Simu ikakatwa.
Sia: tobaaaa Mungu wa Milele hii ni balaa!
Haya foxy kakubali bado
Gorgeous. akapiga simu


Ring tone: Umenifanya ning'are! Umenifanya ning'areeee, umenifanya ning'areee Yesuuuu!
Halooooo
Sia: nambie Christina Shusho!
Georgeous: ahahahaha, ring tone right, kila mtu ananiitaga ivo
Sia: mama ninaandaa birthday
Gorgeous: eh! Muda ushafika mara hii i thot valentine ndio inaanza then unakuja wewe?!
Sia: yah sa hivi nafanya nje ya Tz
Gorgeous: okay how much this time?!
Sia: dola 1000
Gorgeous: are u sure?! Tunaenda wapi?!
Sia: kati ya Dubai au SA
Gorgeous: mmh! Siku ngapi labda mbona naona hela ndogo?!
Sia: nyingine nita chip in mimi
Gorgeous: honey call me ukiwa na uhakika na budget otherwise me nitaku join, tunakaa siku ngap?!
Sia: 1 weeek?!
Gorgeous: week nzima tunakuangalia unakata keki ama?! Eh mbona kazi ipo?!
Sia: hapana bwanaaa si tunakuwa tuna tour!
Gorgeous: wewe ndio event planner nakuaminia usituangushe mwaka jana haukutuangusha asee, me naenda ila hesabu yako hapana au unatuweka economy?! Tutakosa mabwana wa ukweli weweeee tuweke 1st class plz


Sia: poa Christina Shusho
Gorgeous: eh na hili jina jaman, ngoja ni change ring tone, later love
Sia: bye. Simu ikakatwa


Haya amebakia Cutey! Dear God nisaidie maana huyu ni mwishoo!
Simu ikapigwa:
What is Love, Baby don't hurt me, don't hurt me, no more!
What is love, baby dont hurt me, dont hurt me, no more
Wooooouwoooo uwooo uwoooo
Woooow woooow, uuuuu uuuu
What is love
Simu ikapokelewa
Cutey: Birthday season umefika, kama nakuona vile, haya this time wapi shogeri
Sia: Kati ya Dubai au Sa
Cutey: pesa ngapi, nianze kuiba waume za watu
Sia: dola 2000
Cutey: mh! Uchi wenyewe ushazeeka huu nani atanipa dola 2000 labda?!
Sia: kazini umekaa miaka mingapi
Mpaka kuwa managing director sasa utake uchi ukusaidie?! Mungu anakuona ivooo!
Cutey: bibi weee niacheeeeeeee! Kama uchi wangu, makalio yangu, sura yangu, mwili wangu, we taja hela me nijipange
Sia: nimekuacha mamaa, tafuta dola 5000 kwa wewe kwangu utanipa dola 2000
Cutey: poa poa bdae naingia kwa kikao, count me in
Sia: asante sana friend kesho ntakutafutaaa
Cutey: anytime and by the way, nani anaenda
Sia: kila mtu
Cutey: kila mtu nani?! taja majina plz
Sia: Darling, wewe, Sexy, Foxy, Gorgeous, Mimi na Bombshell!
Cutey: yule mshenzi nae umemwalika?! Ah me siendi bwana
Sia: Cutey plz, kwanza we ndo umemuibia mumewe
Cutey: bibi wee komaaa, iyo ndoa ilishakufaga anishukuru me nimemsaidia ndoa ikae ananiona mchawi! Nimembadilishia mumewe ladha ili ndoa idumu, ila someday utanielewa Sia sasa hivi haunielewi, me sio muhuni, Yes i have Daddy issues lakini sio Muhuni, Mungu anaujua moyo na roho yangu ndio maana nafanikiwa
Sia: unafanikiwa sekta zote kasoro ndoa right?!
Cutey: sasa kama na wewe unaanza kuwa judgemental pussy naomba uende mwenyewe huko dubai na Sa me siendi
Sia: hamna bwana nakutania na wewe hautaniwi?!
Cutey: unajua sijamwona Bombshell muda mrefu naskia ni kilaza balaa, ngoja nilipie nije nimnyoooshe! So naenda mama hata kwa dola 10,000 naenda nikamchambe vizuri huyo nyau.
Sia: asante sana Cutey will call you soon!
Cutey: poa! Simu ikakatwa!


Phew! Eh majanga, sijui safari itakuwaje maana sio kwa kupaniana huku! Kiruuu!


Okay Invitation tayari, photoshoot tayari, Dressess for photoshoot tayari, goja niende saloon, then kwa Monica then hotelini nika book for Photoshoot!


Sia akaondoka kufika njiani akapigiwa simu na mumewe,
Mume: Nambie mrembo wangu, mambo?!
Sia: poa za kwako?
Mume: nzuri, wote salama?!
Sia: salama, hamjambo Italy?!
Mume: nipo Singapore, tumekuja jana,
Sia: eh makubwa, mbona haujaniambia?!
Mume: ndio nakwambia sasa hivi, sasa mpenzi kazi zimezidi huku naona kurudi mpaka Tar 10 March, nisamehe sana, nimejitahidi kukwepa ili niwahi kurudi for your birthday lakini nimeshindwaaa, kazi nyingiii!
Sia: mmm! Pole sana, hamna neno pole na kazi,
Mume: asante sana mke wangu,
Sia: Nami pia naona sitakuwepo Tz naenda Dubai for my Birthday, siwezi kukaa mwenyewe ndani na watoto wapo shule boarding
Mume: du! Unaenda na nani?!
Sia: marafkizangu wooote unaowajua!
Mume: eh! Hayamama, hamna neno, ntakutumia hela kesho kwa western union, nisamehe sana mpenz wangu, nakupenda sana, ntakupigia kesho!
Sia: poa! Akaskia sauti ya mbwa inabweka, akaamua aulize, huyo mbwa nae yupo singapore?!
Mume: yah nimekuja kwenye nyumba ya mwenyeji wangu hapa sasa mbwa hawajamfunga!
Sia: muda wa kazi unatembea kwa mwenyeji?!
Mume: leo hatujaenda ofisini ni kesho
Sia: aisee; haya wasalimie
Mume: poa. Simu ikakatwa


Sia: yani huyu bado hajaacha tu ushenzi wake, Singapore my foot! Nauhakika kabisa huyu yupo hapa hapa Tz ila nitamnyooosha mpaka aisome namba

Mume: eh! Na wewe mbwa wako bado hawajafungwaa mpaka sasa unataka nikamatweee?!

Foxy: ah huyu kijana sijui kaenda wapi! Usikute jana hajaja kazini ngoja nimwangalie pole sana mpenzi
Mume: doh! bado kidogo nikamatweee
Foxy: pole mpenz huku anamchumu chumu! Ngoja nikaangalie mbwa
Mume: poa love, me nipo hapa nakubashia
Foxy: hahahahaha huku anaondoka
Mume: anajiambia kimoyomoyo, hapa Sia akijua lazima anitundike


Foxy: akarudi, mkeo anataka kufanya Birthday Dubai, mna hela ee
Mume: me sina hata 100 hata sijui anaifanyaje
Foxy: mtajiju me nataka dola 5000 nimemuahidi namsindikiza
Mume: wewe tena nimpe nani zaidi yako!
Foxy: thank you babe, nakupenda kuliko kitu chochote, huku anamchumu chum, kweli foxy ni foxy! Mijeda ikazama kwenye mahaba


KUPATA ,MUENDELEZO WA HADITHI HII BONYEZA LINK HII MALKIA WA NGUVU - .



ITAENDELEA SAA Leo 5 USIKU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom