Happy Birthday miss strong

Happy birthday to you. Imekuwa ghafla maana nilipitiwa kukutumia zawadi yako ili uipokee leo. Usijali Mwenyezi Mungu aweke ulinzi wake katika maisha yako ya hapa duniani, akulinde na kukuongoza katika njia yenye kumpendeza. Akujalie hekima na baraka katika kazi zako. Akufunike kwa mikono yake. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe
 
Hongera sana, Mungu azidi kukufanya Miss strong to Ms stronger and stronger with great humility.

 
Hongera sana, heri kwa siku hii? Keki wapi leo?
 
Happy Birthday miss strong,,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele!
 
Last edited by a moderator:
ufeki wake nin Excel
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…