Unaingia kibaruani kaka?? Asante sana kwa kuja kwenye sherehe yetu, kwaniaba ya miss neddy tunasema asante....
Wee hakuna hela ya bure hapa
Ngoja nikuweke kiporo, coz nikileta tu uzaramo hukawii kunipotezea lile ombi langu mweeeeSasa si bora kuliko hivyo vimti
Happy Birthday miss neddy, Wishing you only the Best, May the years ahead brings the best of your dreams, aspirations, desires and above all brings you inner peace. Arise and shine!!!!!!!
Kaka Ntuzu Yeah, I am a GUNNER. Mwaka huu wetu japo nyie watu wa morinyo hamtielewa hii lugha sasa hivi.
ahsante shemeji wapi kasinde
Kaka unaziweka mbavu zangu rehani kwa kucheka bana!
Ati unasema mwaka wenu Arsenal?Ahahahahahaha mama mbavu zangu zipokee hapo kijijini ulipo Ipinda ahahahahaha
hahaha wee hufai bora michepuko ya kaka
Ngoja nikuweke kiporo, coz nikileta tu uzaramo hukawii kunipotezea lile ombi langu mweeee
Aah ndo Tabia gani ya kunitelekeza mwenzio, unataka Yule mchana Mbao anicheke mie?Nipo sana nakucheki tu
Aah ndo Tabia gani ya kunitelekeza mwenzio, unataka Yule mchana Mbao anicheke mie?
ππππππ
Jamani wifi hata sijakuongelea wewe kabisa, tuendelee tu na ile ahadi yetu mpenzi