Hahaahaha gunners watakaa meza kubwa kule mbele kabisa.....
Cc Honey Faith
Happy birthday to our sweet lil mbebes. I love the Sagittarius in u lol, have a blast doll
Hahaha twin Kama kawaida, sirembi kwenye suala la menu. Keki lazima inihusu kama me ndo mwenye birthday vile lolAyaaaah, umemuita Heaven Sent atakula keki yoooteee.....
Pole shem, kwani karudi safari??
Umeondoka bila kuniamkua!
Hahahah chelsea tulitaka kuweka vyiti vya blue ila tulikosa, kwaio mtakaa ile rangi ya arsenal.....(sio man u)
Hahahahahaha ndo usafiri wangu wa kudumu. Nipo hapa naifanyia service mapema, tayari kwa mtoko wa birthday. See u there kaka mkubwaUsije na baiskeli yako lol!
nipo kaka yangu...yaani mie na familia yangu tuna majukumu mengi siku hizi..ila tupo
Majukumu shem...mwenzio anafahamu....ila leo nipo..ts a special day kwenye familia yetu ...
Hahahahahaha ndo usafiri wangu wa kudumu. Nipo hapa naifanyia service mapema, tayari kwa mtoko wa birthday. See u there kaka mkubwa