Happy Birthday mimi

Happy birthday wewe! Hongera kwa kufikisha robo karne
 
Happy Bday mungu akupe hekima!na vingine vyote vitafuata!!
 
sasa umefikia umri wa kukupatia mke ili ukue zaidi! Happy birthday, natuman nitakuwa break point kwa kujukuika nawe, lkn iwe kimya kimya......
 
Happy Birthday our friend. I hope you will celebrate it happily.
Say hi to your broda Ruhazwe JR.
 
Last edited by a moderator:
sasa umefikia umri wa kukupatia mke ili ukue zaidi! Happy birthday, natuman nitakuwa break point kwa kujukuika nawe, lkn iwe kimya kimya......

karibu sana baadae mkuu itakuwa kimya kimya no show offs.
 
waonaje nikajumuika hapo au?

Ongera kwa miaka kadhaa ulio bahatika kuwa katika ulimengu wa shida,Raha,starehe,majanga,ufisadi, na mengine mengi tuonakuombea uendelee kuishi ili uyaone mengi zaidi na zaidi.asante
 
Ongera kwa miaka kadhaa ulio bahatika kuwa katika ulimengu wa shida,Raha,starehe,majanga,ufisadi, na mengine mengi tuonakuombea uendelee kuishi ili uyaone mengi zaidi na zaidi.asante

Asante sana Mkuu ubarikiwe
 
happy birthday my young brother Mu-sir Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema akujalie maisha marefu mazuri yenye baraka tele
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…