Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote.
Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote.
heri ya kuzaliwa bwana mdogo..Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote.
hongera na Mungu azidi kukupa afya njema na mafanikio katika maisha yako yote
pokea kakeki kadogo leo function iko wapi bestito?
View attachment 128322
Asante best kwa keki, Leo nitakuwa maeneo ya Breakpoint Kijito Nyama nijipongeze kidogo