Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,790
Heeeheheeeh. Hawa jamaa wa be like bro sijui hata wanawazaga nini.
Utakikuta kwenye makaratasi.unachohisi juu yangu ni nini?
Ukirudi si utakuwa umeamua!umenibadili vya kutosha kisha unataka kuni dump
unataka nirudi nilipotoka??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]huwezi kukwepa na itakuandama popote utakapokwenda
Namuombea Maisha Marefu Yenye Huruma Tele Nawaombea Pia Washiriki Wote Walioshiriki Michuano Kwenye Ardhi Yake.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]nastahili kufanya jambo lolote ili kulinda penzi langu hata kutoa uhai wa mtu
We jifanye mjanja tu!ndio natoka mazikoni mia kafa
mia r.i.p
[emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji6] [emoji6] [emoji6]
Huyu sijui mia ndio nani bwana shemeji maana naona dalili za kudai talaka vere suni.