HAPPY BIRTHDAY Mheshimiwa MOISE KATUMBI CHAPWE!!!!

HAPPY BIRTHDAY Mheshimiwa MOISE KATUMBI CHAPWE!!!!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe …

December 28, 2011

Mwanamuziki PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA PATRIA, A.K.A. PAPAA NA DAIDA JB MPIANA akiwa na repa wake Gentamacine wakitoa vyombo kwenye sherehe ya kuzaliwa Tajiri wa Klabu ya TP Mazembe Moize Katumbi Chapwe katika uwanja mpya wa TP Mazee mchana wa leo huko Lumbumbashi Congo.

Chapwe aliyezaliwa tarehe kama ya leo 28 Dec ameamua kusherehekea kwenye uwanja mpya wa timu hiyo huko huko Lubumbashi DRC.



Tajiri Moize Katumbi Chapwe akitoa nasaha zake wakati wa sherehe hiyo uwanjani.




Tajiri akiingia uwanjani

Mashabiki waliohudhuria.

Katumbi alipata wakati mgumu pale mamia kwa maelfu ya mashabiki walipokuwa wakipiga kelele na kutaka uwanja huo upewe jina lake ili kumuenzi kwa mchango wake kwenye soka. angalia picha mbili za chini.






Kijana akimpatia zawadi ya Kandambili zenye jina la timu ya TP Mazembe




MAshabiki wakiwa na Bango la TP Mazembe




JB Mpiana akiwasili uwanjani


JB Mpiana akiingia uwanjani akiwa na Gentamacine na walinzi wake (Picha zote kwa hisani ya TP Mazembe)




Habari na picha kwa Hisani ya Spoti na Starehe
 
JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe …

Mwanamuziki PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY DE LA PATRIA, A.K.A. PAPAA NA DAIDA JB MPIANA

....Hahahahaha lol! umenikumbusha jina kamili la Dikembe Mutombo: Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean Jacque Wamutombo Mutombo
 
kiboko mzee mzima mwenye Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Za Banga......!
 
pia Papa Moise ni governor wa province ya katanga, lubumbashi ni capital.
Mambo ya dyamaa (diamond), bacongolesse banataka moise awe presidaa wa congo.
 
pia Papa Moise ni governor wa province ya katanga, lubumbashi ni capital.
Mambo ya dyamaa (diamond), bacongolesse banataka moise awe presidaa wa congo.

Ni kweli inasemekana ndio anapewa nafasi kubwa ya kumrithi kabila lolote likitokea japo na yeye ni mtu wa kabila kinoma!jamaa amefanya mambo makubwa sana kwenye jimbo la katanga,wananchi wanamkubali sana,pia ana damu ya kiisrael,mamake mcongo babake muisrael..
 
Na huu ndio uwanja wa Yanga ya huyo Papaa Manji..............








 
Hahahaha' hongera kwa Manji kwa kuiinua Yanga.."Kidumu kilabu cha Yanga"
 
Anawadanganya waswahili kwa kuwapa vijisenti mshenzi huku jamaa anakomba mabillioni benki kuu!!
 
Hongera mutu ya Bana-KATANGA.
Nzambe na makonzi jole na bomoyi ya selecion...
Okha!
 
kumbe moise katumbi ni bcbgque damu sio,hii sikuielewa,maana naona hapo alimualika mokonzi ya ba wengee bcbg Papaa Cherie Jb Mpiana,mashabiki wa Le Roi De La Forret WERRASON Wamenuuuuna!
 
Back
Top Bottom