Hapo kwa Bold...hehehe!!!
Jamani.
:A S kiss::A S kiss: jioni uje ule Zanzibar 😛izza:
Miaka kadhaa huko nyuma mtoto wa kiume alizaliwa na kwa uwezo wa Mungu hadi leo anaendelea kupumua,happy bday to him.
Namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipofika,mama yangu and my late father,ndugu na friends wote especially Jamii Forums. Naitumia siku ya leo kutafakari maisha yangu huko kote nilikopitia,kubwa zaidi nililopanga ni kuendelea kufanya mchakato wa kubadili maisha yangu,yawe mazuri zaidi kimwili na kiroho.Amani na upendo,kusimamia haki na demokrasia,ukweli na uwazi daima vyote viwe nguzo imara katika maisha yangu.Thanks again wana JF kwani tangu nimejiunga hapa 2008 nimejifunza mengi sana na nimetoa yangu japo bado nadaiwa zaidi. ALL THE BEST washkaji.
Cc. Invisible Madame B Arusha one MziziMkavu , Ben Saanane ZeMarcopolo Bishanga Passion Lady Erickb52 Baba V...na @wadau wengine wote
Happy birthday mkuu.....
Happy Birthday ray05....Miaka kadhaa huko nyuma mtoto wa kiume alizaliwa na kwa uwezo wa Mungu hadi leo anaendelea kupumua,happy bday to him.
Namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipofika,mama yangu and my late father,ndugu na friends wote especially Jamii Forums. Naitumia siku ya leo kutafakari maisha yangu huko kote nilikopitia,kubwa zaidi nililopanga ni kuendelea kufanya mchakato wa kubadili maisha yangu,yawe mazuri zaidi kimwili na kiroho.Amani na upendo,kusimamia haki na demokrasia,ukweli na uwazi daima vyote viwe nguzo imara katika maisha yangu.Thanks again wana JF kwani tangu nimejiunga hapa 2008 nimejifunza mengi sana na nimetoa yangu japo bado nadaiwa zaidi. ALL THE BEST washkaji.
Cc. Invisible Madame B Arusha one MziziMkavu , Ben Saanane ZeMarcopolo Bishanga Passion Lady Erickb52 Baba V...na @wadau wengine wote
Hahahah asanteni,hivi si mliniambia mna mtoto wa kike? Am single jamani.
Hahahah asanteni,hivi si mliniambia mna mtoto wa kike? Am single jamani.
:A S kiss::A S kiss: jioni uje ule Zanzibar 😛izza:
Vua gamba kwanza ndipo tukupe kigori wetu.
sina. am 100% kamanda
happy birthday dear
tanx alot my dearAsante nimependa jina lako!!