Happy Birthday ME..............LET ME SHARE THIS WITH YOU!!!!!!!!!!!!

hongera mamito kwa kuongeza namba katika umri wako. Kaizer njoo chumbani basi nikwambie tunakutania wapi. mei nimefunzwa etii.
heeeeee!
hii sikuijua Kaizer......
hongera sana kwa kujitwalia kimwana.... kumbe ng'ombe hazeeki maini kweli kweli, lol!
cc. snowhite (mwal wako)
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth,

Happy birthday to you my dear,

Mungu aliyekuleta hapa duniani azidi kukulinda, kukutunza na kukujalia neema zake kwa muda wote uwapo hapa duniani, ili kwa njia hiyo upate kutimiza mapenzi yake hapa duniani.

Happy birthday mpendwa na Mungu akubaliki sana.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birth Day to you
Mungu akupe kila lililo haja ya moyo wako
Hongera sana
 
yes my dada Fixed Point nashukuru sana.....

picha yangu haijaja tafadhali nifanyie manuva tena.......

I love u sanaaaa nafurahi sana kuwa na dada as sweet as you...
kwani mdogo wangu unatumia simu? mbona mimi naiona hiyo picha my sweet lil sis?
sijui sasa hata nifanyaje jamani, pole.
Kuna glass 2 za amarula, lol!
you and me...... nakupongeza sana
 
duh, halafu kweli..dogo atakuwa ananyonya saa hizi..lol...sorry for disturbance totooo!!

Nimemuona humu, itakuwa maziwa yameisha au pampasi imeshindwa kuhimili vishindo...lol
 

Yeah, everyone creates his/her own self! But, remember Jesus loves us all! HBD Heaven on earth.
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba yangu na mimi,nakutakia heri na baraka kwa kutimiza umri wa miaka 120.
 
Mungu akujaalie uzima H.O.E kumbe tumetofautiana siku/masaa maana mimi ni 27 Sept!
 
It's never too late to wish some one a HAPPY BIRTHDAY, TO YOU MDADA
 

Happy birthday shouger Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…