hahahaaa da Asha hujatulia wewe hata kidogo! yaani mbavu zangu uwiii... Haya bana fanya yote ila make sure UNAHUDHURIA.. hakuna kubadili mawazo..Tokana na hizo post hapo juu.... Naaga hapa for the following reason.
- Namuonea wivu Mayasa mwili wake hauna shukrani.
- Nimeahirisha.... naenda chimba nguo nyingine Roulette kazoea nitesa. Navaa hot pants, Wedges, na a sexy buggy blouse courtesy ya Gucci. Naenda azima kwa King'asti.
- Hii style ya nywele haiendani na hot pants... Naenda saloon kuweka kitu Crazy!
- Nataka nihakikishe nikifika ukumbini "all eyes on me" of course baada ya the same eyes kutoka kwa Mayasa! lol
Asante Dear..Happy Birthday my dear
Asante Mkuu!Happy Birthday Mayassa.
Mayasa = Mayassa?
Asante sana mkuu! Ubarikiwe kwa kuniletea zawadi nzuurii.. mia.hongera sana mayasa. naomba unifungulie nipo hapa mlangoni kwako nmekuletea zawadi ya happy new year...oops..ni zawadi ya happy birthday. nakutakia uishi maisha malefu..yenye furaha. Mia
Thanks my dear...Thanks dear.. oohh Happy birthday to your daughter too..
Asante sana Mkuu..Happy birthday my dear mayassa
Asante Mkuu!Happy birth day Mayasa.
Ameen, Asante sana Dearhonggera kwa siku ya kuzalia M/Mungu akuongezee afya tele
Thanks Mkuu!Happy birthday Mayasa....πoa
happy birthday mayassa wangu.....May God gives you 100 years to live a happier life...i will always love you Mayassa wangu.....wakuache uishi miaka 600
LOL.. wala usiogope Mkuu, itamke tu kwa kiswahili, haitaleta maana hizo ulizoorodhesha..πoaMayassa ..............naogopa kutamka.
kwa Kinyambo ,Kihaya , Kichiga au Kinyankole
1.Mayasa -sehemu za siri
2.Kasino =mayasa ya kike
FeLady hongera saana kwa kujaliwa kua Mama,
na hongera saana kawa kukuza Binti,
:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:...HAPPY BIRTHDAY FeLady's Beautiful Daughter....:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:
@Mayasa - Hope you don't Mind Dear...
Kila kitu kipo bien,naona ukumbi pink na white,B'DAY Girlz wanawakawaka,ni raha iliyoje?Haha Da Asha, tuko busy na Fe Lady tunaandaa sherehe ya pamoja pale Kilimanjaro Hotel ya zamani.. Muda si mrefu mtapata mwaliko rasmi.. Steve Dii atakuwepo pia.. yuko busy kidogo ametingwa
ππ