OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Katika siku yako hii ya kuzaliwa, watanzania wote tunakutakia maisha marefu na mema katika harakati za kuikomboa nchi hii... Umezaliwa siku moja na Mama Terresa (Founder of Missionaries Charity), hivyo hivyo kama alivyokuwa yeye nawe pia endeleza moyo wako wa huruma wa kutumikia watu masikini na kwa hakika ulete ukombozi wa mara ya pili katika nchi hii........
Kwa hakika watanzania hawana hata chembe ya shaka dhidi ya maamuzi yako na utendaji wako katika jambo lolote lile........ Ni wewe katika nyakati hizi ukisema unaamisha mlima wowote ule unaweza bila shaka, Ni wewe katika nyakati hizi ukisema mbuga ya serengeti ihamie dar es salaam unaweza kutenda bila woga wowote.....
Happy birthday Lowasaaaaa.
Happy birthday pia kamanda Hussein Bashe katika siku yako hii ya leo ya kuzaliwa.....
Ni Watanzania gani waliokuvma uongee kwa niaba yetu pimbi wewe?
Hizi njaa mnazoendekeza kufanya kazi hamtaki unadhani kuna maisha ya shortcut kujipendekeza kwa wanasiasa matapeli kama Lowasa?[/QUO
hahaha eti Pimbi......Matusi ya nini mzee matola learn to argue my brother unashusha uwezo wako na kuonekana mdogo sana unaporusha matusi......................rudi shule kapige kitabu ili uelimike kaka.....Asante

Thamani yako ni Ipad na Galaxy pole sana kama unajihisi na wewe ni msomi, tafuta kazi ya kufanya bado tuna ardhi kubwa tu na yenye rutuba.
Umetimiza Miaka Kadhaa Hongera Kwa Kuzaliwa
Na mimi nipeni hongera yangu, mimi na EDO tarehe moja, mwezi mmoja