The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hamu imekuja usiku huu eheeee pale Movenpick now Serena unaweza kupata ya hivyo i think it cost around 35,000 or 40,000dah hiyo keki ya pili anaeweza kuitengeneza aniambie nitoe oda aisee ...
Halafu ngoja nicheki na Soraya labda anaweza kuwa mtaalamu:eyebrows:dah hiyo keki ya pili anaeweza kuitengeneza aniambie nitoe oda aisee ...
Sijui nikaamshe haka ka-lizzy au nikaache kalale hadi asubuhi...dogo hiki kibarua 'kimekufaa aisee'...lol
Halafu ngoja nicheki na Soraya labda anaweza kuwa mtaalamu:eyebrows:
Lol..utamuona tu Soraya..dah halafu inabidi wewe uwe best man wangu siku ya harusi..lolsoraya yupi huyo????
umeshaanza makeke huko pia?lol
Lol..utamuona tu Soraya..dah halafu inabidi wewe uwe best man wangu siku ya harusi..lol
happy b day LIZZY......
Una personality iko very strong....
dont change please...
kuna kitu about you unique....
i cant say what it is...but be happy and stay strong....
Happy birthday mpendwa, nakutakia afya njema. Hongera kwa kutimiza miaka desh desh.
dah hiyo keki ya pili anaeweza kuitengeneza aniambie nitoe oda aisee ...
Na mbona husemei ya Juma Kaseja kuichezea U-23 tangu mimi nipo shule ya msingi?Nilitaka kukushangaa sana Hus,
Miaka ya wanawake huwa haitajwi hata siku moja...Ndiyo maana kuna msanii mmoja wa Bongo, she has been 20yrs old for the past 10 yrs!
Hahahaha! Bossdogo unanitisha ujue..
hebu funguka aisee
kuna kitu unajaribu kusema?