Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
kuku wangu mwenyewe manati ya nini? namsubiri saa 12 nakamata. nyie mnajiumiza roho zenu bure. mimo na Heaven on earth mtuache miaka mia.mia
Hili toto limezaliwa juzi tu leo limeanza kupiga ulabu. dah
kwani ana nini hadi kumgawana kwa zamu? KILA M2 NA DEM WAKE - By Mr. Nice!
nilikuwa pande za kwetu nilimsindikiza wifi yako kwao;
Happy birthday rafiki.Ingawa nimechelewa sana kuona hii post.Mungu azidi kukulinda na kukuongoza.
Ahsante sana, nilifikiri nimechelewa kumbe niko ndani ya mda muafaka.Rafiki nipo ni majukumu ya hapa na pale, ndiyo maana wakati mwingine napotea.Pamoja sana rafiki.Nikutakie wakati mzuri wa kuendelea kufungua zawadi za Birthday na majukumu kwa ujumla.Amen, ahsante..hujachelewa sana kwani bado tunapokea nepi, pampas, baby powder na vinginevyo.
Thanks for the wishes friend, barikiwa sana.
Ila umepoteaa?
Mkuu Mr Rocky...wewe unlinifitini kwa KOKUTONA mpaka tukaachana...tafadhali naomba uniachie Heaven on earth wangu tule mema ya nchi...
Hawa vijana grafani11 na figganigga wala hawanitishi...
...happy birthday!!
Ahsante sana, nilifikiri nimechelewa kumbe niko ndani ya mda muafaka.Rafiki nipo ni majukumu ya hapa na pale, ndiyo maana wakati mwingine napotea.Pamoja sana rafiki.Nikutakie wakati mzuri wa kuendelea kufungua zawadi za Birthday na majukumu kwa ujumla.
Happy birthday my dia..
Jishaue.
Na hupati unyumba miezi 6 kwa hili ulilonifanyia.