~***~Happy birthday keren happuch~***~

My dear........hebu wahi kabisa...........

Kuhusu shopping........ Friday is perfect for me dear. Otherwise thank you for being around.
 
Thank you so much Willbald.

Be blessed.
Thanks too KEREN_H!
But remember...While many people may be thinking of you on your birthday, I want you to know I’m first on that list because On this special day, I am going to raise a toast to you and your life.
 
shika moooooo,,,,,
 
Dah! Keren hili neno limekaa kama tusi sijui kama linapatikana kwenye kamusi labda kamusi ya 2013
 
Dah! Keren hili neno limekaa kama tusi sijui kama linapatikana kwenye kamusi labda kamusi ya 2013

Mhhhh jamani BAK............hilo neno linamaanisha "outing", nimelisikia watu wakilitumia pale wakimaanisha wanaenda outing au walikuwa outing nzuri..........SORRY kama limesound vibaya. Hope you know kabisa kinywani mwangu sio rahisi kabisa likatoka neno baya.
 
Reactions: BAK
He he he....nilikimbia kweli,ndo nimerudi....sijambo dearest!! Birthday ya Keren iliendaje??

Mzima kabisa dear.... Birthday ya Happuch was a Blast... Kweli BAK anajua ku-organise mambo.... Nasikitika Uli-miss BUT we have a plan ya "a gals day out ukiwa na nafasi dear"
 
Thank you dearest. Ila ujue nilikukosa sana jana... Usiache basi kupitia hm, kuna kipande cha keki nimekuwekea...

Ooh Sorry dearest....ndo nilikuwa nashughulika na rufaa ya muhimili mmoja ili niende na miye kwa wana apolo.....nina mafua......lol

kipande changu cha keki nakipitia usijali asante sana ubarikiwe
 
Ooh Sorry dearest....ndo nilikuwa nashughulika na rufaa ya muhimili mmoja ili niende na miye kwa wana apolo.....nina mafua......lol

kipande changu cha keki nakipitia usijali asante sana ubarikiwe

Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.
 
Let the God decorate each golden ray of the sun reaching u with wishes of success,
happiness and prosperity 4 u, wish you a super duper happy birthday.
 
Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.

Ooh yeah she is the best..maana siku hizi si unajua kila mtu akienda kwenye muhimili wa taifa pale, anakatiwa rufaa ya kwenda kwa kina ponjoro.....lol
 
With this compliment: This thread is officially Closed!!!

Need I Say More?

Shem umeona kazi hapa chini inaendelea?? Mtoto anatoka after seven days za kuzaliwa, ndo bado leo ni the third....

Let the God decorate each golden ray of the sun reaching u with wishes of success,
happiness and prosperity 4 u, wish you a super duper happy birthday.
 
Okay dearest.............all the best na hiyo rufaa na pole sana kwa mafua..........hope my dear AD anakutake care vizuri........soon you will be fine.

Enjoy your day.

I try my best dear.. Jana ile "voice mail" kumbe yupo hoi na mafua (hadi yalinishuka) good thing leo ni nafuu saana. I hope umefurahi kaja, nimemuambia lazima ajikaze ariport hii mahala...

Ooh yeah she is the best..maana siku hizi si unajua kila mtu akienda kwenye muhimili wa taifa pale, anakatiwa rufaa ya kwenda kwa kina ponjoro.....lol

Sweetie mbona glass ya lime water haipungui?? utaniudhi sasa hivi....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…