Happy Birthday JK!

Khaaa! Bebii nimerudiarudia kusoma ulichoandika lkn nimeshindwa kuona ukweli wake....
 
Leo ni siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Ninamtakia Birthday njema na Mungu amzidishie siku za kuishi duniani, neema, rehema na busara za kuiongoza Tanzania.

Watu kwa kujipendekeza
 
hivi hawa moderator hawaoni kuwa hili tangazo la biashara lipo kila mahali humu jf.
 


selfish,
 
Akwende zake huko huyo Fisadi, anyway Happyday mungu ampunguzie Maisha ili watanzania wafarijike, matatizo tuliyoyapa kwenye utawala wake yanatosha
 
Aongezewe maisha marefu ili iwe nini?? Eti amuongezee busara? Lini alikuwa na kidogo mpaka leo aongezewe? Huyu ni wa kumuomba mungu ampe busara na si kuongezewa maana hajawahi kuwa hata na kidogo.
 



Hapa si bure ukisikia anasifia mvua ujue imemnyea
 
Happy Birthday mtawala wa wadanganyika! una miaka mingapi sasa? Hivi bado hujafika umri wa kustaaf au unarudisha umri nyuma?
 
wewe uliyeanzisha hii thread nakushukuru sana kwa hii thread yako kunikumbusha kuwa na mimi ninatimiza miaka kadhaa leo hii, akhsante sana! bila hivyo ingenipita hivi hivi maana nilishasahau!
 
wewe uliyeanzisha hii thread nakushukuru sana kwa hii thread yako kunikumbusha kuwa na mimi ninatimiza miaka kadhaa leo hii, akhsante sana! bila hivyo ingenipita hivi hivi maana nilishasahau!

JAYJAY happybirthday bana, sasa hapa ulipojichanganya mkuu wangu sijui utatoka je, ngoja nikutoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…