RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,038
- 505
Ni BansenBurner (id halisi) ametafuta sana pacha wake, mwingine ni erick daniel, hawa umezaliwa nao tarehe mojakipi kimemliza ?
sijakusoma
Nikutaftie fasta?2november sijawah mpata
MleteNikutaftie fasta?
Leta utamu.Nikutajie jina au nikupeleke ukurasa alipo utaftetafte kidogo (ili uonje kidogo radha ya kugurungusha pacha wako ktk hii thread?)
Kidogo tungezaliwa tarehe moja mi 12 Nov13 Nov
Yupo kati ya ukurasa wa 35 na 40, haya pambana kidogo kumtafta ana jina linaanzia na...Leta utamu.
Pacha wako yupo somewhere humu ila naskia hupendi kuoneshwa a.k.a kusontewa labda kuoneshwa tu mtaa kisha unamtafuta mwenyewe27 december
mimi sijawahi mpataPacha wako yupo somewhere humu ila naskia hupendi kuoneshwa a.k.a kusontewa labda kuoneshwa tu mtaa kisha unamtafuta mwenyewe
C ungechelewa kasiku kamoja na wewe bhanaaaa!!!12 Jan
Mwingine yupo uk wa 49 kajisuprise mwenyewe umfahammimi sijawahi mpata
KugurungushaNikutajie jina au nikupeleke ukurasa alipo utaftetafte kidogo (ili uonje kidogo radha ya kugurungusha pacha wako ktk hii thread?)
Leta utamu.