Happy birthday inanisulubu

Happy birthday inanisulubu

Ukicheka na nyani utavuna magua mkuu , kataza kabisa mazoea sna ya mkeo na mashosti jua hao ma shost ndo wanaharibu sna wake za watu yaan yalinikuta ingawa si kwa mke ila be care mkuu ukilegea watamtaftia na kibwana kabisa wawe wanataftiwa ukimbi wa sherehe zao na harama nyengine kuhudumiwa
 
aksante mkuu ushauri mzuri kabisa
 
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. unamuendekeza sana huyo mwanamke ndo mana anakuendesha mkuu.
 
mh hii sasa kazi..

halafu tukitafuta michepuko mnakasirika kumbe nyie ndo mnasababisha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom