Well well well
Hommie, huyu binti kuzaliwa siku moja baada ya kufa Nyerere, Je,
Haiwezi kuwa sababu nyingine ya kukutana na kutafakari huku chupa zenye vimiminika vikiwe mbele yetu?
Je nikimtakia huyu binti heri ya siku ya kuzaliwa kabla ya Uporoto, ntakuwa nimetenda dhambi?
Happy birthday Husninyo!!
Baada ya kusema hayo naomba unipangie kazi.Hahaha Hommie
Hadi Uporoto atakapofufuka, inabisi wewe ndo uwe bestman pale, maana huyu mpwa wangu Husninyo asikae peke yake
Vimiminika vitakuja kwa wingi hightable, ila mchunge sana King'asti
Klorokwini kamwogopa FA kwa hiyo tumempanga stoo ya maji...lol
Natatizwa na Location, hebu do the needful basi!haha nimemwona, asiee na bonge la Kadi, kumbe mkarimu sana aisee hebu ongea naye anaweza kutufaa leo
mbele ya husninyo tena? Ujue mimi ni mgeni humu jf na katika watu walionipokea vizuri ni huyu dada bwana yeye na ashadii.preta,lizzy na wengineo i wish her all the happiness in the worldhaha nimemwona, asiee na bonge la kadi, kumbe mkarimu sana aisee hebu ongea naye anaweza kutufaa leo