usijing'ate sasa! ni pm namba yako ya M pesa... halafu uje mzima mzima!Dah... Umenikumbusha mbali sana, nimemiss kichuri mbaya aisee!!! Leo tuonane basi
usijing'ate sasa! ni pm namba yako ya M pesa... halafu uje mzima mzima!
hakuna haja ya kwenda PM hapa hapa.. Haya namba ya tigopes hiyo 0714197700
hakuna haja ya kwenda PM hapa hapa.. Haya namba ya tigopes hiyo 0714197700
we poa! :A S wink:
kwanza kesho uje nikununulie kichuri hapa buzuruga!
boya wewe!
Buzuruga.hii nnayoijua mie😕
Hakuna! nakataa!
nasema njoo pm!
kuna mengi zaidi ya kukunong'oneza!
Njoo! haraka!
hiyo hiyo brenda.. tena karibu tu hapo na kituo cha shule kwa chini...!
au twende na mecco kabisa!
cc charminglady..
wow! hii imekaa vizuri sana!Aisee...sikujua kama sie ni majirani