CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kumbe bado mdogo hivo 21??
Sanaa mkuu... Nashangaa watu wanamkubwisha tu humu!
HBD...uje kuchukua zawadi
eti nini?
dah siamini kabisaa!
ngojeni nikirudi..
Huamini nini sasa??
"We boya tu"
Nipe mie nimpelekee...Saiv anabadilishwa pampaz tu
HAPPY BIRTHDAY Heaven on Earth Mungu akupe afya njema na uishi miaka mingi zaidi
Zawadi nyingine hazihamishiki tatizo ukiibeba ww ndio
inakuwa yako milele
Kwani sasa ana mingapi? ! Happy birthday Heaven on Earth.
HAPPY BIRTHDAY Heaven on Earth Mungu akupe afya njema na uishi miaka mingi zaidi