Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Happy birthday kamanda Halima,
Sijawahi kujutia kupoteza siku2 za kulinda matokeo yako bila kulala na tena bila malipo yoyote.
Mungu akubariki na kukulinda.
Ntayalinda tena matoke ya ushindi wako October2015
Happy Birthday Jembe langu halima mdeeKwa jinsi ninavyomuamini,nimehamia Jimboni mwake na kuishi. Halima Mdee ni mwanamke wa shoka
mkuu ni mashosti sana tena wa muda mrefuHuwa namfananisha sana huyu Esther Bulaya.
Huwa namfananisha sana huyu Esther Bulaya.
Vipi mkuu...UNataka kutotolesha?? SubiRi amalize kazi tuliyomtuma wa kawe!!!ok??hbd madameHivi Halima hana mtoto? Maana miaka 37 si haba...anyway long live kamanda