Happy Birthday to me

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,554
108,895
Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka ndani na nje ya JamiiForums.

27th March ni Siku Muhimu Kwangu.
 
'Mechi moja inaangaliwa na zaidi ya watu milioni 500, raundi ya kwanza kwenye champions league kacheza mechi nne yaani milioni mia tano mara mechi nne ni sawa na watu bilioni mbili. Kombe la shirikisho kacheza mechi sita kwahiyo ukichukua milioni mia tano mara mechi sita ni sawa na watu bilioni tatu ukijumlisha hapo unapata bilioni tano, kwahiyo watu bilioni tano wameiona VISIT TANZANIA. CCM ILAANIWE
 
Kwani baba ye ndo nani?

Afu Mimi sikudhihaki we ondoa hilo wazo kabisa akilini mwako
 
Mora mora mora hujaniambia kuhusu hili umenidharau sana, umedharau Mwalimu Nyerere, Sinde Warioba, na jemedari Magufuli…

Tokonityebhie amang’na ghasarikile nimesoma tarime sekondari na shule nzuri kabisa pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom