Akikujibu niite jamanulimuahidi nini kabinti ka watu?!!bonyyy
akaahh!vitoto siviwezi miyeeeeBabu anaejikongoja ni wa nini?Wewe hutaki vya moto???
Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi na wewe tumetoka mbali kaka bonnyMie sjatoka mbali na mtu aiseee
Ahahahhahbonyyu....am ur sistaa...ryt?!!
Ahahahh namuonea huruma lakinimtu mzima anaumbuka hapa
Babes...bae...
Ushidwe kwa jina la YesuTena kafara yako itakua nzur kwel
halaf ilikuwa mitamu ebu bonny atupeleke
Ni pale pale tu hakuna kwingine ilikuwa mitamubalaaa...pale inabidi tuende tena palee!!!
mzee wa ahadi hewa
Sijaiona hata hiyo nilipewa ahadi ya vitu vingi sana