hiloooo....mzee wa ahadi hewaaNilikuahid mirinda nyeusi na nilinunua ukaimwaga
umeona eehh.....hata pale kwa juzi...!!!!
usinizulie balaa bonyy...Ahaa hapo sawa ungesema sasa kama wewe ni nyumba ndogo
acha tu liamkeeeee...avatar hii haibadilikii...!!we pambana na hali yakoo
bonyy kama kibit tumeshindwa bas hata mishikakiiHa ha ha ha Sio kwa kutia huko huruma
Sijaiona hata hiyo nilipewa ahadi ya vitu vingi sanakumbeee?!!
heeeAm sorry mkuu ila kuanzia leo jua kuwa mimi ndo nyumba ndogo ya dada yako
Post sent using JamiiForums mobile app
shunie...!!!huyo sio mie lakiniEndeleen kuchafua Jina langu tu
Tulikuwa na geniKwan juz mlikuwa na mm
hebu usinichulie miyeeHe hehe he unajua majukumu ya nyumba ndogo lakin
Hivi tumemchafuaje lakinishunie...!!!huyo sio mie lakini
wee...usintafutie balaa na babu wanguuNayamudu mkuu muuliza hata dada yako atakuambia nilivyo fit!
Post sent using JamiiForums mobile app
mishikaki tafadhaliNmefanyaje sasa