Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
OMG !! Kabla sijatoa MuBaraka na Hongera... Nijuzeni dadazangu; kwani hamupendi kutaja umri wenu (miaka yenu) !!Mpendwa farkhina, natambua leo ni siku yako ya kuzaliwa na sina budi kutumia wasaa huu kukupa hongera kwa kuongeza umri na kukutakia yote yalio ya kheri katika kuadhimisha siku hii ya leo.Mola akupe afya njema,uzima na maisha marefu.
View attachment 245328
View attachment 245331
Lots of love from ur sissy gorgeousmimi:hug:
OMG !! Kabla sijatoa MuBaraka na Hongera... Nijuzeni dadazangu; kwani hamupendi kutaja umri wenu (miaka yenu) !!
Maisha mataamu na muruwa farkhina gorgeousmimi Moyo wako karimu uzidishiwe umri mwema......forever!
3afwan Ukhtii L kareema !!!Shuraan swaheeb
HBD mama wa mahanjumati na madikodiko #farkhina