Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,652 Sep 1, 2011 #41 Elia said: Nitamwambia lakini hilo tiffu lake sijui utaliweza? Click to expand... Wewe mweleze tu, Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC!
Elia said: Nitamwambia lakini hilo tiffu lake sijui utaliweza? Click to expand... Wewe mweleze tu, Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC!
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Sep 1, 2011 #42 Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango? HAPPY BIRTHDAY BRO.
Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango? HAPPY BIRTHDAY BRO.
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,511 Sep 1, 2011 #43 Heri ya kuzaliwa Elia....ujaaliwe miaka 800!
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 Sep 1, 2011 #44 Dark City said: Wewe mweleze tu, Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC! Click to expand... Atakuja nadhani anasubiria kwanza matatizo ya umeme na mafuta yapungue, Nikijua siku anayokuja nitajitahidi nisiwepo mbaki wewe na yeye tuuuu
Dark City said: Wewe mweleze tu, Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC! Click to expand... Atakuja nadhani anasubiria kwanza matatizo ya umeme na mafuta yapungue, Nikijua siku anayokuja nitajitahidi nisiwepo mbaki wewe na yeye tuuuu
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 Sep 1, 2011 #45 jamii01 said: Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango? HAPPY BIRTHDAY BRO. Click to expand... Tatizo unarudi usiku sana mkuu, unatoka tumelala unarudi tumelala But hamna shida kuna nyama choma leo
jamii01 said: Elia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango? HAPPY BIRTHDAY BRO. Click to expand... Tatizo unarudi usiku sana mkuu, unatoka tumelala unarudi tumelala But hamna shida kuna nyama choma leo
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 Sep 1, 2011 #46 shosti said: Heri ya kuzaliwa Elia....ujaaliwe miaka 800! Click to expand... Heeeeee shosti, 800yrs! punguza kdg But Thanks!
shosti said: Heri ya kuzaliwa Elia....ujaaliwe miaka 800! Click to expand... Heeeeee shosti, 800yrs! punguza kdg But Thanks!