Happy Birthday dikembe . Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha ukaishi miaka ya ujana na uzee wako kwa furaha tele 'Valentina' huyu jamaa yuko wapi maana muda sana sijamsikia aise
Happy birthday jembe
Happy Birthday dikembe . Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha ukaishi miaka ya ujana na uzee wako kwa furaha tele 'Valentina' huyu jamaa yuko wapi maana muda sana sijamsikia aise
Happy birthday to u
May every Birthday make you more stunning than you already are, more funny than you already are, more stylish than you already are, more generous than you already are and more creative than you already are. May each Birthday of yours notch you up one more level.
Happy birthday 2 u, happy birthday 2 u! u were born in d zoo' u were born in d zoo' with d monkeys 'n donkeys dats looks just like u!
Cc: ICHANA, Queen Horse, miss chagga, Mr Rocky, Eiyer, Ntuzu, Passion Lady, Rogie, kiwatengu, shansarie, Honey Faith, Nyani Ngabu beibe, Asprin karibu lakini hakuna pombe tumeokoka teh,bila kukusahau wewe Invisible leo itabidi tu uonekane kwenye hii party ya mwabepande
Mkuu...
Nashukuru sana kwa salaam hizi za siku ya kuzaliwa.
Nilikua mafichoni ila nimerudi na nafurahi kuwaona mko salama kabisa.
Huyu jamaa mchepuko alioupata safari hii ni noma...
Happy birth day too you
Hahahaa...Happy birthday dikembe mungu akupe maisha marefu mkuu.. Mpaka uwaone wajukuu zako,,,
Nina mashaka na umri wako kuna mtu kaniambia eti una miaka 57 mkuu teh teh teh teh kweli ww ni handsome babu..