Bonge la keki kwa kweli. Una roho nzuri sana !!!View attachment 966387Happy birthday davet
Bonge la keki kwa kweli. Una roho nzuri sana !!!
Kawaida yake hiyo. Unafikiri kuzinduliwa mchezo? Inabidi uwe na roho ngumu espeshale kama ulikuwa umefanya daivesifikesheni ofu yua investimentisi (ifu yu no whataimini). Atarudi tu na maneno kibaoTatizo mhusika kaingia mitini daah hope atajitokeza kabla haijaeksipaya