Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,359
Mamito Ile keki tutaipeleka sa ngapi? Da Mie kazaliwa siku ya Muungano itabidi tukitoka tu hapa Uwanja wa Amani tunaelekea moja kwa moja kwa Da Mie kufurahi pamojaHappy Birthday my dear...........................
Happy Birthday my dear...........................
Mimi nipo Dodoma nitawapokea na hizo zawadi zenu, Kimey lipo kontena special kwa ajili ya zawadi toka kwa wanaJF.Mamito Ile keki tutaipeleka sa ngapi? Da Mie kazaliwa siku ya Muungano itabidi tukitoka tu hapa Uwanja wa Amani tunaelekea moja kwa moja kwa Da Mie kufurahi pamoja
Asante mzee wa rula kwa kukumbuka siku yangu ya kuzaliwa na muungano nimeandaa kontena la kuweka zawadi kwani hao uliowataja nawaaminia. Yote ulionihusia nitazingatia.
Happy Birthday Da Mie, hongera kwa ku turn sweet 16 hahahaha, Mungu akuongezee busara zaidi mpendwa uwe na Amani na Furaha kwa siku yako ya leo, kama Mzee wa rula alivyosema hapo juu Mungu pamoja nasi tupo pamoja nawe mpendwa.
Zawadi yako ndo naipeleka kwa DHL kabla jua halijatwama utaipata...!!
Mkuu wangu wa Kitengo ndo nafanya logistics hapa Lea lazima Da Mie afurahi...Mimi nipo Dodoma nitawapokea na hizo zawadi zenu, Kimey lipo kontena special kwa ajili ya zawadi toka kwa wanaJF.
Mamito Ile keki tutaipeleka sa ngapi? Da Mie kazaliwa siku ya Muungano itabidi tukitoka tu hapa Uwanja wa Amani tunaelekea moja kwa moja kwa Da Mie kufurahi pamoja
Aisee Da Mie mwambie Love the Nurse mimi kosa yeye sana, Leo mwambie atenge ka muda kidogo nina maneno nataka kumwambia!!ha ha ha kaka, karibu na asante sana Usikose kuja kujitandaza kunako sherehe loveness yupo busy na maandalizi.
Kamati imekamilika kila idara, leo ni shangwe kwa kwenda mbele. Karibuni sana.Mkuu wangu wa Kitengo ndo nafanya logistics hapa Lea lazima Da Mie afurahi...
Wow!
Hongera sana Damie!
That age of 16 of which you hit today is very dangerous, as naughty boys may start chasing at you... ha ha haa!
Sa mbona hukusema siku ile tumeonana kule Nanihiino, TUNGESABABISHA naniliu ya fastafasta?..Nambie sa tunakaa wapi kama kamati?
OK, Mungu akubariki sana, na kila siku inayozidi uongeze marafiki zaidi na zaidi, na uwe amani mpendwa!
PJ.
Happy Birthday DaMie niko busy hapa TRA ninalipia kontena lenye zawadi zako litokee leo leo ili niweze kukukabidhi.
Leo Dompo litanitambua...Happy Birthday DaMie niko busy hapa TRA ninalipia kontena lenye zawadi zako litokee leo leo ili niweze kukukabidhi.