Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Wewe ni sehemu ya wanawake wasiojua tabia ya wanawake,kuna misuko ya kuonyesha lakini sio aina hio alidhamiria kumtakia kheri sista ake
nzuri mwanyasi za .Miaka mingi???We mwanamke habari ya masiku....?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] nyang'au wee...Ha ha ha h asante sana mkuu ngoja niende nkachek nae vzur dodo linaweza kuwwpo chin ya muarobaini
Njemaaaaa, uliadimika sana karibu kwetu.nzuri mwanyasi za .Miaka mingi???
Mbona una wivu dada angu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] nyang'au wee...
shame on u!!!
nitakaribia one day
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua mwenyeweMbona una wivu dada angu
Kule umeharbu na huku tenaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua mwenyewe
dah sijui nisemeje.View attachment 436457 Happy birthday dada yetu. Mungu akuzidishie furaha na heri nyingi katika maisha yako.
Dada yetu, tunakupenda na tunakuthamini sana.
View attachment 436454