Tarehe kama ya leo
26 Nov Mkoa wa
Kilimanjaro ndani ya Wilaya ya
Moshi vijijini. Kijiji kimoja cha kuitwa "
masama" baba na mama wa
CONTROLA walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza waliempenda kupita maelezo,wakati
CONTROLA akizaliwa alitoa kilio cha hatari ila kwa upande wa wazazi wake wao walikua wakichekelea kwa furaha "isiyoelezeka"
Maisha ndivyo yalivyo muda wewe unalia,wengine watakua wakifurahi so don't mind Achana nao iskusumbue
Kila mtu na siku yake hii leo ni "
yangu" namshukuru Mungu kwa yote aliyonipitisha kwa miaka iliyopita,kanivusha mabonde na milima kaniepusha na hatari mpk sasa nina amani furaha afya tele "
who am i" si lolote si chochote ila ni Upendo tu wa pekee alionao
Father in heaven juu ya maisha yangu,nina kila sababu ya kusema "asante", YES asante baba kwa kunifikisha siku hii ya leo.
CONTROLA umekua mfano kwenye maisha yangu, umekua role model wangu,kupitia wewe
CONTROLA nakuahidi Mungu
akinipa uwezo wa kufika mwakani tarehe kama ya leo nita kusuprise kupitia yote ninayojifunza toka kwako
CONTROLA
Nakupenda
CONTROLA nakuhusudu
CONTROLA naku naku naku naku kila kitu my one and only
CONTROLA
Enjoy some of your favourite hits
Nani kama mama - Christian bella
Uso wangu - Emmanuel Mgogo
Simama Jitukuze - Mercy Masika
Chizoba - Rudeboy
Virtuous Woman - Flavour
Nikumbushe - Nandy
Love song - Etana
Coat of many Colours - Dolly Parton
I'll Remember you - Kenny Rogers
Usiende mbali - Juliana
Mmmh - Willy Paul
Happy Birthday once Again
CONTROLA